Ofisa Mtendaji wa mtaa huo, Ali Kambi, alipoulizwa juu ya tukio hilo alikiri na kwamba lilitokana na mgogoro wa ardhi.
Alisema waliochomewa nyumba wote walivamia eneo la mtu anayeitwa Nicolaus Malose aliyemilikishwa na kijiji tangu 2011.
Hata hivyo waathirika wa tukio hilo walisema eneo hilo ni lao tangu mwaka 1985.
Hata hivyo waathirika wa tukio hilo walisema eneo hilo ni lao tangu mwaka 1985.
Mkuu wa Kanda ya Kipolisi Ilala, Marietha
Minongi Komba alipoulizwa jana kuhusu tukio hilo alisema hakuwa na
taarifa za kuungua kwa nyumba na kwamba siku ya jana alizungumza na
Mkuu wa Kituo cha Polisi Ukonga mara saba, lakini hakupata taarifa
zozote.






0 comments:
Post a Comment