Timu ya mieleka ya Marekani ilishika nafasi ya tatu na kujizolea medali za shaba baada ya kuibwaga Belarus kwa 6-1. Naye Mkuu wa Shirikisho la Mieleka la Marekani amesema kuwa, watazamaji wa Iran wameuthibitishia ulimwengu kwamba, Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki IOC ilifanya makosa kwa kuchukua maamuzi ya pupa ya kuufuta mchezo wa mieleka kwenye mashindano ya Olimpiki ya 2020.