Home »
New info
» DON JAZZY KAMWAJIRI MFANYAKAZI WA SHIRIKA LA NDEGE SOMA..
Mfanyakazi wa shirika la airline aliyefukuzwa kazi baada ya kumruhusu
kuendesha gari dogo linalotumika kubeba mizigo (arport cart), kinyume cha
sheria.
Don jazzy alifika
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa murtala mohammed, lagos nigeria wakati
akielekea kwenye tuzo za mtv afrika kusini ambapo aliruhusiwa na mfanyakazi
huyo kuendesha kigari hicho tena akiwa na mfanyakazi huyo pembeni.
Wakati anafanya tukio hilo alirekodi kipande
cha video kisha akasafiri akiwa mwenye furaha huku akimshukuru mfanyakazi huyo
kwa kuliwezesha zoezi lake.
Baada ya
kumalizana na mambo ya tuzo, don jazzy alishitushwa na taarifa za kufukuzwa
kazi kwa mfanyakazi huyo ambaye jina lake halikutajwa huku sababu ikiwa tukio
linalomhusisha yeye. baada ya muda aliamua kumpa ajira kwenye label yake ya
muziki inayomiliki wasanii wakubwa kama dr sid na tiwa savage na akaiambia
dunia kupitia instagram.
0 comments:
Post a Comment