
video kwin.. agness gelard a.ka. masogange amefunguka kuhusiana na na matatizo aliyopata jela mwaka jana kule sauzi afrika alipokama twa na mzigo uliosadikika kuwa ni ..(kushiiii) madawa ya kulevya…
Masogange alipoulizwa ukweli wa kile kilichomfunga alisema
kuwa yaani nyie hamjui tu wanasema drug s lakin sio kweli kwani yanatumika
hospitalini.zina tumika kutengeza panado…
Aggy pia amesema kuwa aaah amejifunza vingi sana kule
gelezani na tofauti pia ya magereza ya bongo na sauzi pia ameiona maana kule
wanakula vizuri,baada ya siku mbili
wanabadilishiwa vitu ,maji ya kuoga wanapew a ya moto ila tu uhuru wanakuwa
hawana.
USHAURI KWA WASICHANA
Nawashauri wasichana wenzangu wasiafanye hii kazi bora
watafute fedha kwa biashara nyingine ila sio hii maana hii ukikamatwa tu miaka
utakayo fungwa si michache,.






0 comments:
Post a Comment